.

Jumanne, 15 Oktoba 2013

WEMA SEPETU KUANZA KUONEKANA LEO KATIKA KIPINDI CHAKE CHA "IN MY SHOES" EAST AFRICA TV.....

Hapo kabla star wa bongo anayeongoza kwa ‘drama’, Wema Sepetu alikuwa akionekana zaidi katika magazeti, na mara kadhaa kupitia matukio mbalimbali katika TV, lakini kuanzia Jumatano hii ataanza kuonekana kupitia kipindi chake kipya cha runinga ‘In My Shoes’ kitakachokuwa kinarushwa na kituo cha Television cha EAST AFRICA, kuanzia leo Octoba 15 saa tatu na nusu usiku.

Hivyo mashabiki na wapenzi wa Wema Sepetu nafasi ni yenu kutazama na kufahamu mengi kutoka kwa mwanadada huyu.


Mtete Focus Blog

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni