.

Alhamisi, 17 Oktoba 2013

Picha, Video Ya Future Anayo Shiriki Star Miley Cyrus

 
Boy Friend wa Ciara, Future yupo mbioni kumaliza video yake mpya inayoitwa Real & True ambayo mpaka sasa imeanza kushika vichwa vya habari baada ya picha za video model wa video hio ambaye ni Miley Cyrus.  

Picha zilizo vuja zinaonyesha msanii Miley Cyrus amepakwa rangi ya silver kwenye mwili wake wote. Fahamu kuwa hapo Miley Cyrus yupo uchi kabisa kama alivyo zaliwa na ndio mwongozaji wa video hio alitaka iwe hivyo.
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni