.

Jumamosi, 12 Oktoba 2013

Kutana na tatoo mpya ya Young D yenye maneno ya kifaransa na ijue maana yake hapa.

dYoung D msanii ambaye kwa mara ya kwanza alipewa nafasi ya kusikika kwenye radio kupitia Clouds FM na Adam Mchomvu long time ago Young D akiwa young kweli, leo hii ni mmoja kati ya wasanii maarufu kwenye muziki wa kizazi kipya. Young D ameshare picha ya tatoo yake mpa ambayo ameichora kifuani kuanzia kushoto hadi kulia na inasomemeka “Agradece Al Universe”. David akiongea na millardayo.com alisema maana ya hiyo tatoo yenye maneno ya kifaransa ni “Thankful to Universe”.
Young D pia ana tatoo nyingine sehemu ya juu ya mkono wa kulia.
d2
Mtete Focus Blog

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni