.

Jumamosi, 12 Oktoba 2013

MTANGAZAJI ADAMU MCHOMVU AWACHEFUA WATU KWA KUWEKA PICHA ONLINE AKITIRIRIKA KAMASI

Kupitia Account yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram Mtangazaji wa Clouds Fm Adam amepost picha hii na kuandika maneno hayo, picha hii imezua maswali mengi kwa fans wake pia hata kwa watangazaji wenzie, pitia baadhi ya comment utaelewa kwa ufupi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni