.

Alhamisi, 17 Oktoba 2013

Rapper Wa Muda Mrefu Snoop Dogg Amebadilisha Jina Mara Nyingine Tena,Fuatilia Hapa

Rapper Snoop Dogg Aka Calvin Cordozar Broadus Jr amebadilisha tena jina lake na kuanza kujiita SnoopZilla.  Rapper huyu mwenye miaka 41 amebadilisha jina hilo ili kutangaza zaidi project yake mpya anayofanya na mwimbaji Dam-Funk, na itaitwa 7 Days of Funk.

Jina hili jipya limekuja baada ya mwaka moja alipo badilisha jina na kujiita Snoop Lion ili kutangaza kazi yake mpya aliyo kuwa akifanya yenye mahadhi ya Reggae iliyoitwa Reincarnated 
Mtete Focus Blog 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni