.

Jumanne, 15 Oktoba 2013

VIDEO: MWANAUME AMFUNGA GIRLFRIEND WAKE NA KUFULI KUMZUIA ASIMSALITI....!!


Mwanaume mmoja huko Mexico amlazimisha girlfriend wake  kufunga na kufuli jeans yake ili awe mwaminifu kwake.
Mwanamke huyo mwenye miaka 25 ambaye hakutambulika moja kwa moja alienda polisi huko Veracruz na kusema kwamba anasikia maumivu baada ya kushindwa kwenda kujisaidia haja ndogo kwa muda mrefu.
Aliwaambia askari hao kwamba kwa miaka  mingi,boyfriend wake huyo mwenye miaka 40 amekuwa akimfunga na kufuli lakini alikuwa anamuogopa sana kiasi kwamba akimfunga hakuweza kujifungua au kuchana.
Polisi walimkamata boyfriend wake ambaye alikiri kumfunga kwa kufuli girlfriend wake na kuwapa ufunguo polisi hao,CNN iliripoti.
Polisi walishangazwa kwamba mwanamke huyo hakutaka kumfungulia kesi boyfriend wake kwahiyo alipelekwa mahabusu lakini aliachiwa baada ya masaa machache.

 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni