.

Alhamisi, 10 Oktoba 2013

Picha 16 za jinsi video ya ‘cheza bila kukunja goti’ ya Ay, FA na J Martins ilivyokua ikitengenezwa Afrika Kusini.

26Wamiliki wa post hii ni wasanii kutoka Tanzania Ay na Mwana FA ambao kwa kutambua umuhimu wa ubora wa kazi za sanaa kwenye ulimwengu wa sasa, kutaka wanachokitaka kwa gharama yoyote walisafiri mpaka Afrika Kusini kwenda kutengeneza video ya single ya ‘bila kukunja goti’ waliyomshirikisha staa wa Nigeria J Martins.
Kwenye Intervew na millardayo.com FA alisema tayari video hii ambayo inatarajiwa kutoka Ijumaa wiki hii imeshapitishwa kuonyeshwa kwenye TV kubwa ambazo zimekua kilio cha wasanii wengi kutaka video zao zionekane hapo.
Unaambiwa tayari vituo vikubwa kama Channel O, MTV Base, Sound City ya Nigeria na TRACE TV vimeshaipitisha hii video hivyo ratiba ya kuanza kuonyeshwa itatoka soon kutoka station hizi ambazo mara nyingi zimekua zikicheza nyimbo chache tu za Afrika ambazo video zake zina ubora.
Baada ya Ay na FA kuufata ubora Afrika Kusini, good news ndio hiyo kwamba video yao imepita na itaanza kuonyeshwa kote huko, endelea kukaa karibu na millardayo.com na pia jiunge kuwa mwanafamilia kwenye facebook.com/millardayo twitter.com/millardayo na instagram.com/millardayo uwe wa kwanza kupata kila taarifa mtu wangu.
25
21
22
29
31
34
24
23
27
28
30
33
35
36
32

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni