.

Alhamisi, 17 Oktoba 2013

The Game anunua cheni 2 za Cash Money kwa sh mil 64,360,000, ampa moja Birdman

baada ya kutangaza kupitia album yake ya mwisho Jesus Piece. The Game sasa rasmi amesaini mkataba na Cash Money Records wiki hii, na kuweka kama kumbukumbu, Game alijinunulia na kumnunulia C.E.O wa Cash Money, Birdman cheni  zinazofanana zenye nembo ya CAsh Money, yenye thamani ya dola 40,000 ambayo ni sawa na shilingi millioni 64,360,000, moja ikiwa ni gold na nyingine platnum. Kampatia moja Birdman kama asante kwa kumularibisha katika familia ya Young Money Cash Money Records.
 
Mtete Focus Blog

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni