.

Jumatatu, 14 Oktoba 2013

HUYU NDYIE MSANII WA MUZIKI ANAEDAI KUTONGOZWA SANA NA VIDUME HAPA BONGO...!!


Image


Mshindi wa Serengeti Fiesta mwaka jana, kutoka Mbeya Neylee amesema amekuwa akipata usumbufu kutoka kwa wanaume walaghai lakini anajua jinsi ya kuwaepuka kwakuwa anachokiza ni muziki peke yake.

Akizungumza na mpekuzi wetu, Neylee amesema simu yake imekuwa busy kwa kupigiwa simu na wadau muhimu anaofanya nao kazi lakini baadaye hubadilika na kumtaka kimapenzi.

“Zaidi ya wanaume 50 wananitaka kimapenzi lakini mimi najitambua nifanye nini kuwaepuka .Mbaya zaidi ni kwamba wengi wao tunafanya nao kazi.Ninachokifanya ni kuwaonesha kwamba mimi si jamvi la wageni.Kwa hiyo, wote nimewakataa.

"Uamuzi wangu umetokana na ukweli kwamba wanaume wa siku hizi ni waharibifu.Ukimpa nafasi atataka akutumie hata NYUMA (Makalioni ) na ndio maana mimi nawaogopa sana"..Alisema Neylee 
Mtete Focus Blog

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni