.

Ijumaa, 3 Oktoba 2014

Hizi ni pichaz kutoka kwenye party ya birthday ya Diamond Platnumz juzi usiku na alichozawadiwa.

.
.
Mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz au Nasibu Abdul Juma alizaliwa October 2 1989 ambapo akiwa darasa la tano ndio akaanza kuonyesha kwamba anaupenda muziki ambao miaka kadhaa baadae ndio umekuja kuikomboa familia yake na yeye mwenyewe kuweza kuishi maisha mazuri.
Kwenye hii party ambayo ilifanyika Golden Jubilee Towers Dar es salaam Kilimanjaro hall ilihudhuriwa na mastaa mbalimbali wa Tanzania wakiwemo Waigizaji, Watangazaji wa Radio na TV, Wasanii wa bongofleva na wengine.
.
.
Kwenye party hii management inayomsimamia Diamond ilimzawadia Diamond gari aina ya BMW ambayo inaonekana kwenye picha kama zawadi kwenye hii siku yake kubwa ambapo miongoni mwa mastaa waliohudhuria pia ni pamoja na T.I.D, Chidi Benz, Profesa Jay, B12, Mwigizaji Lulu, Ommy Dimpoz na wengine.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
DSC_0241
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
DSC_0567
DSC_0569
DSC_0581
DSC_0635
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Unataka niwe nakusogezea kila stori inayonifikia zikiwemo pichaz,

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni