.

Jumamosi, 12 Oktoba 2013

Familia ya mheshimiwa Temba yaongezeka,apata mtoto mwingine wa kiume

tmbKutoka TMK, msanii ambaye aliwahi kuwa mchezaji basketball hadi kupewa nafasi ya kujiunga na jeshi kutokana na kucheza mchezo huo lakini lishindikana kutokana na kuwa na tatoo. Habari nzuri ni kwamba Temba amepata mtoto mwingine na kufanya idadi ya watoto wake kuwa wawili. Mtoto huyo wa kiume amepewa jina laMelyvin ambaye pia dada yake anaitwa Mishell
2Mtoto Melyvin
1Mishell Temba
Mtete Focus Blog

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni