.

Jumapili, 13 Oktoba 2013

Happy Nyerere day, angalia documentary ya maisha ya mwalimu Nyerere hapa – “The legacy of Julius Nyerere”

nyerereTukiwa tunakumbuka na kusherekea maisha ya Baba wa taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere, unaweza kuangalia hii documentary inayohusu maisha ya mwalimu kuanzia alipozaliwa hadi alipoanza harakati za siasa. Siku kama ya leo natumaini mtu wangu wa nguvu haya yatakuwa material mazuri kwa ajili yako, enjoy.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni