.

Ijumaa, 11 Oktoba 2013

EXCLUSIVE : KUA WA KWANZA KUDOWNLOAD NGOMA MPYA YA MADEE TEMA MATE, IPO HAPA

Baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya Pombe Yangu, sasa msanii kutoka
manzese maarufu kama Madee ameamua kuachia rasmi ngoma yake nyingine
mpya inayokwenda kwa jina la Tema Mate.



 Ngoma hii imefanywa ndani ya

Studio Ya Mj Records chini ya Producer Marco Chali.


Mtete Focus Blog

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni