.

Jumatatu, 10 Novemba 2014

HIZI NDO PICHA ZA RAISI JAKAYA KIKWETE ZINAZO PENDWA ZAIDI KATIKA UTAWALA WAKE WOTE


  inasemekana  hizi  picha  zimekuwa   zinawagusa  watu  kuliko  picha   zozote  za   Rais  Kikwete  ambazo  alishawahi  kupiga  wakati  wa  uongozi  wake  maana  hizi  picha  zinaguza   maisha  na  matatizao  mbalimbali  ya   watu  katika  jamii  yetu  ya  kitanzania, Ebu   tazama  hizo  picaha  kwa  makini  sana

Rais  akiongea  na  mlemavu  huko  mwannza
hapa   Rais   Kikwete  akiongea  na  bibi   huko  mkoa  wa  pwani


Hapa  Rais  akiongea   na   mlemavu  katika  ziara  zake

?????
Hapa  Rais  Kikwete  akiongea  na  mtoto  mlemavu  huko   tanga



Hapa  akiongea  na  mlemavu  pia  katika   ziara  zake


Hapa  pia  akiongea  na  mlemavu


kama   kawaida  yake  rais  akimsikiliza  mlemavu


Hapa  pia  akisalimiana  na  mlemavu







Hakuna maoni:

Chapisha Maoni