.

Jumamosi, 8 Novemba 2014

Labda hutopenda hii ya kumjua tajiri wa Afrika alietisha kwenye msafara wa matajiri wa dunia ikupite.


Screen Shot 2014-11-08 at 10.38.17 PMMifano ya matajiri kama hawa ni mifano ya ukweli na inaweza kufanya kazi kwenye maisha yetu ya kawaida manake na wao walianzia kwenye maisha ya kawaida tu kama unayopitia/uliyopitia wewe lakini kwa sababu waliongeza ubunifu na bidii wakavuka kwenye kiwango cha kawaida.
Mtandao wa Forbes umetoa list mpya ya matajiri hamsini kutoka Afrika list ambayo inaongozwa na tajiri wa Nigeria ambae ni Mfanyabiashara maarufu na Rais wa kampuni ya Dangote Aliko aliyekuwa akishikilia nafasi ya arobaini na tatu kwenye list ya matajiri wa dunia lakini sasa kapanda mpaka nafasi ya ishirini na tatu.
AlikoForbes imetoa taarifa hiyo na kusema Dangote mwenye umri wa miaka 57 ameishikilia namba moja kwa matajiri wa Afrika lakini ni namba mbili katika list ya watu wenye nguvu ya ushawishi Afrika.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni