.

Jumanne, 11 Novemba 2014

Rihanna ndani ya Ikulu ya Marekani, nina picha zake 5 za alichokifanya hapa.

Screen Shot 2014-11-11 at 11.42.39 AMJumatatu Novemba 10 badgalriri ambae ni hivi karibuni amerudi kwenye account yake ya instagram alitinga ndani ya Ikulu ya Marekani (White House) ambapo hizi ni picha alizoziweka kwenye ukurasa wake wa Instagram zikionyesha alichokifanya ndani ya Ikulu hiyo.
Riri
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
Riri I
Riri II
Riri III Riri IV

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni