.

Jumanne, 4 Novemba 2014

Tazama picha za Profesa Jay akizindua matawi mapya ya Chadema, Je atagombea ubunge??? Soma hapa

profeasa jaytz
Ni mara chache sana unakuta msanii anajitangaza waziwazi kua yeye ni mpenzi wa chama flani cha siasa, wengi wanaogopa kujitokeza wakihofia kushuka kwa sanaa yao kwa kukosa baadhi ya mashabiki wa chama flani. Lakini haikua hivu=yo kwa wasanii Profesa jay, Sugu na Afande Sele pale walipojitokeza hadharani kwa kujitangaza kua ni wana Chadema.

Jana kupitia ukurasa wake wa Facebook Profesa Jay aliweka picha zikimuonyesha akifungua matawi mapya ya Chadema na kuandika haya ” JANA; Kufungua matawi mapya na kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwenye daftari la makazi na kisha kuitumia vema HAKI yao ya kupiga KURA na kuwachagua viongozi wao kwa maendeleo yao! !! Hamasisha na watu wako ili wajitambue na kujiandikisha! !!
Tusubirie yawezekana akajitosa kugombea uongozi mda utafika.
profeesa jay profesa jay tz

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni