.

Jumatatu, 30 Desemba 2013

YANI RIHANNA ANAMAKUSUDI SANA,.! FULL MITEGO YANI HATARI SANA:



Rihanna amekuwa akionyesha utukutu wake mara nyingi jukwaani lakini hii ilikuwa kali alikuwa akiimba huku akionyesha makalio yake na kukatika, watu wote walibaki midomo wazi huku wakishangilia kwa
uchizi aliokuwa akionyesha msanii huyo. Show hiyo ilifanyika huko France

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni