.

Alhamisi, 26 Desemba 2013

Baada ya kumtema Penny, Diamond amtangaza Wema Sepetu kuwa ndiye demu wake Mpya..!!


 Tukio hilo lilitokea  jana pale Leaders club kwenye show ya Diamond ambapo Wema Sepetu alipanda kwenye stage na kuongea na mashabiki waliofika kwenye show hiyo....
 
Kwenye hiyo show, Diamond aliuliza,”Mnataka kumjua mchumba wangu”? Show ilivyoendelea Diamond alitaka kuimba wimbo wa "ukimwona" akasema:
 “Nasikia ninayetaka kumuimbia wimbo huu yupo humuhumu ndani”.
 
Baada  ya  kauli  hiyo, Wema Sepetu alipanda kwenye stage kisha wakakumbatiana  na kucheza wote.
994992_654719497904805_1370630389_n
379719_654725334570888_100223854_n
1499625_654740321236056_1133727884_n 


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni