.

Jumatatu, 30 Desemba 2013

TAZAMA YALIYOJIRI KWENYE UBATIZO WA MTOTO WA MBUNGE WA JIMBO LA MBEYA ,JOSEPH MBILINYI (SUGU MOTO CHINI)


Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa(CCM), akimpatia zawadi mke wa Mbunge wa Jimbo la
Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi(Chadema).

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa na Mbunge wa Jmbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi(SUGU).

Dr. Mary Mwanjelwa siku ya ubatizo wa Mtoto Shasa Joseph Mbilinyi (Sugu) Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini (Chadema) katikati, mtoto akiwa amebebwa na mama yake Mbeya Mjini.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi



Tufurahi pamoja




Sote ni ndugu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni