.

Jumamosi, 28 Desemba 2013

UJUMBE ULIOTUMWA NA JACK CLIFF KWA MARTIN KADINDA UNASIKITISHA SANA KAMA HAUNA ROHO NGUMU UKIUSOMA UTALIA MACHOZI...!!!! CHEKI HAPA


KAMABADO UJAJIUNGA NASI BOFYA HAPA KUJIUNGA NA MTANDAO WETUhttp://bongonews255.blogspot.com/

Yaelekea mwanadada Jackie alikuwa amejipanga kisawa sawa na alijitoa muhanga na kujua lolote lingeweza kumpata kutokana na kazi aliyo kuwa akifanya ya kubeba sembe. Jackie alijipanga na kuamua kumuachia rafiki yake kipenzi Martin Kadinda maagizo na wosia wake just incase ikatokea akafariki. Jackie aliweza kuandika ujumbe huo kwenye status yake ya BBM kama inavyo onekana hapa chini.



Jackie amekamtwa mapema mwezi huu Macau, China na kilo 1.1 za heroin na sasa anasubiria hatma yake kutokana na kosa hilo la kusafirisha madawa ya kulevya.




Inauzunisha sana jamani...!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni