.

Jumatatu, 30 Desemba 2013

Dereva wa Formula One Michael Schumacher apata ajali mbaya na kukimbizwa hospitali.


CS53720449FILE-December-2-2971633Michael Schumacher mshindi mara saba wa mashindano ya Formula One yupo kwenye hali tete baada ya kufanyikwa matibabu kutokana na ajali aliyopata akiwa anacheza mchezo wa kuteleza kwenye barafu.
Schumacher mwenye miaka 44 alidondoka mapema Jumapili na kugonga kichwa chake kwenye mwamba na hizi ni taarifa kutoka kwenye kituo ambacho alikuwa anacheza huo mchezo.
Japokuwa managers wa kituo hicho wamesema Schumacher alikuwa amevaa helmet wakati  anacheza.
Baada ya ajali hiyo Michael alofikishwa kwenye hospital ya the Grenoble University Hospital Center kwa ajali ya matibabu.
CS53720483FILE-December-2-2971663
CS53728150Members-of-the-st-2971594
CS53728257An-helicopter-sta-2971595
Michael-Schumacher-2970339
Michael-Schumacher-2970342
Michael-Schumacher-2970343


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni