.

Jumapili, 29 Desemba 2013

NIMEAMBUKIZWA GONJWA BAYA NA MPENZI WANGU...NAOMBENI USHAURI..!!


Baada ya kutoka Chuoni anakosomea Alikuja siku mbili kabla ya krsimass vile nilikuwa nimemisi tulishinda tukiduu! Alivo ondoka tangu siku ya boxing day, nimeanza kuugua nahisi maumivu makali sana wakati wa kukojoa kuanzia jana mpaka sasa nakojoa usaha kabisa rafiki yangu kaniambia Ni Gono Tayari na akaniambia kawaida gono huwa haliponi hospital mpaka dawa za kienyeji, Naombeni ushauri jamani kuna ukweli katka hili? Pengine nitumie dawa gani kwa wanao ufahamu ugonjwa huu? Naomba kuwasilisha.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni