.

Jumamosi, 28 Desemba 2013

TAZAMA PICHA ZA FILAM MPYA YA KIBONGO WAKIWA NUSU UCHI NA MAMBO YA KIKUBWA,WATOTO ZETU TUNA WAFUNZA NINI?



Hakika tasnia ya filamu kwa hapa bongo na hata baadhi ya nchi za Afrika zimekuwa zikipotosha na kuharibu jamii zetu hasa vijana.

Kwenye moja kati ya filamu ambazo inategeme kutoka hivi karibuni hizi ni baadhi ya shots zilizochukuliwa....

Maoni 1 :

  1. sioni upotoshaji wowote kwenye picha hiyo. Kama ni kuwapotosha watoto wetu, basi filam za hollywood na nigeria ziliwaharibikia zamani na sioni kilich kibaya na filam zetu. unapomficha mtoto kitu au jambo flani ndio unampa hamu ya kutaka kulijua na akilifanya linakuwa baya zaidi.

    JibuFuta