.

Alhamisi, 9 Januari 2014

TAZAMA PICHA ZA AJALI MBAYA YA GARI AMBAYO MSANII FALLY IPUPA AMENUSURIKA KUFA KWENYE AJALI HIYO..!!


 

Msanii maarufu nchini Congo Fally Ipupa amenusulika kufa baada ya kupata ajali mbaya ya gari majira ya usiku wa tarehe 7/1/2014, Hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo ila kuna mama ambae unamuona kwenye picha hapo chini aliumia vibaya sana na kukimbizwa hoptitali ambapo anapata matibabu mpaka sasa






Picha na Voice of Congo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni