.

Ijumaa, 3 Januari 2014

Picha Na Info, Kazi Mpya Ya Jaguar Imemkuta Akitakiwa Kwenda Jela Kuikamilisha.


Star wa Hit za Matapeli, Kigeugeu na kipepeo Jaguar  yupo mbioni kutoa wimbo wake mpya wa  “Kioo” na kwenye wimbo huu anazungumzia maisha ya ujana na matatizo tofauti na jinsi unavyo weza kujifunza kutoka kwenye mambo mazuri na mabaya unayofanya.


Picha za utengenezwaji wa video zinamuonyesha Jaguar akiwa jela na wafungwa huko Kenya. Jela hii ya Industrial Area imeruhusu J Kufanya baadhi ya vipande vya video yake humo akiwa na wafungwa wa gereza hilo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni