.

Jumatano, 15 Januari 2014

Picha, Lady Karun Atangazwa Kuongoza Mauzo Ya Muziki Kwenye Huu Mtandao



Kwa usiye fahamu kuhusu huu mtandao, nakufahamisha kuwa Waabeh ni mtandao unaouza kazi za muziki za wasanii wa Kenya na ulipata umaarufu mkubwa mwaka jana baada ya kutangaza kuwa unauza muziki wa aliyekuwa member wa Kundi la Camp Mulla ,Lady Karun.

Karun alitoa album yake kupitia mtandao huo na iliuza kopi nyingi mpaka kufanya atangazwe kama msanii aliyeuza zaidi kwenye Wabeeh.


Karun ameweka picha akiwa na cheki ya pesa za Kenya Kshs. 22, 000.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni