.

Jumamosi, 11 Januari 2014

Mwana F.A Atakuwa Ana Roll Kwenye Hii Ride Sasa.



Mwaka 2014 Umeanza vizuri kwa Rapper Mwana FA, Kadondoka Bongo na ride mpya aina ya Toyota Mark X. Picha zimeonekana kwenye Instagram yake na ya msanii mwenzake Jaffarai anaye miliki sehemu ya kuosha Magari [ Jaffarai Car Wash ]. Picha Ziko Hapa



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni