.

Jumamosi, 11 Januari 2014

TETESI ZA MIMBA YA NICK MINIJ NI YA LIL WYNE..SOMA ZAIDI


Taarifa zinaendelea kusambaa kwenye mitandao mingi kwamba nicki minaj ana mimba. Na unaweza kujiuliza nani atakua baba? Sio mwingine bali Lil Wayne. Nicki minaj alionekana akiwa na kitumbo kidogo  akitoka dinner tarehe 2 januari na akitumia maji  tu usiku huo kitu ambacho sio kawaida yake.Tunasubiri kuona kama nicki atatangaza rasmi kuhusiana na rumour hizi.Rumour hizi ni suprise kwa watu wengi kwasababu nicki minaj alishatamka katika interview na kituo cha MTV kwamba lil wayne ni kama kaka kwake.”Not only is he my boss, but he’s also like my brother,” alisema nicki minaj mwezi April Mwaka Jana.Kama rumour hizi zikiwa kweli mtoto atakayezaliwa atakua ni wa 5 kwa wayne (ana watoto wanne wote mama tofauti). Watu wengi imekua ndio topic yao leo kwenye mtandao huku wakiwa na wasiwasi kwamba nicki na wayne hawana parenting skills

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni