.

Alhamisi, 21 Novemba 2013

SINTAH AJITOKEZA NA KUMTETEA DIAMOND "DIAMOND WAS ON POINT NA AMEONEKANA MBUNIFU SANA"



"Tatizo watu mmezoa ku cram sana kwamba kila anaeenda katika harusi aende na suit, Nchi nyingine hawapo hivyo kama ukiona hao waliopo na Diamond hapo chini hakuna aliepigiliaa kihivyo yaani unatakiwa uwe simple but elegant,, besides ilikuwa ni ndoa ya kimila so kupigiliamo suit haihusu,,

daah mnavyokosoa as if mnajua sana fashion, to me Diamond was on point na ameonekana mbunifu, maana hajatuendea na suit pale, me nadhani alisoma kwanza mazingira ndio akatupiamo kitu chake,,, its all about fashion sio mna cram

wamaaa Diamond ulitokelezea na kuwa so different kwenye ukweli lazima nasimama na ukweli....." Sintah

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni