.

Alhamisi, 21 Novemba 2013

Mabeste amesema haya na kuahidi kusema zaidi juu ya kilichosemwa na B hits juu yake



mabeste
Mabeste pamoja na wasanii wenzake Vanessa Mdee na Gosby imetangazwa rasmi kwamba hawapo tena kwenye lebo ya B hits music group.
Mabeste ametoa ya moyoni kwamba Hermy B ambaye ni boss wa lebo hiyo amesema maneno ambayo si kweli kuhusu ku-invest zaidi ya millioni 30 kwake,amemlipia kodi ya nyumba na pia anamnunulia nguo.
Hiki ndicho alichoandika Mabeste  na ameahidi kusema zaidi leo hapo baadae
mabesre1



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni