.

Jumanne, 19 Novemba 2013

Majibu ya Maswali Matatu ya Familia Kuhusu Chanzo cha Kifo Cha Ngwea.



rest in peaceJumamosi ya tarehe 16nov ilikua ni tarehe ya kukumbukwa Mangwea,ambapo iliandamana na siku ya kumaliza msiba wake yaani 40.Kiu ya watanzania tulio wengi ilikua ni kupata ripoti ya chanzo cha kifo cha MANGWEA.TZA ilipata nafasi ya kufanya mahojiano na kaka mkubwa na msemaji wa familia kupata undani wa kifo cha Ngwea na haya ndo yalikua mahojiano yetu.
DSC01429
TZA:Mpaka sasa hivi ripoti toka south Africa mmekwisha ipata?
KENETH:Aaaah,hilo ni suala la kifamilia kwa hiyo  hatuko tayari kulingelea kwa sasa hivi.
TZA:Tulikua tunaomba kufahamu kama imeshapatikana ama bado,na kama imepatikana au haijapatikana ni hatua gani mmezichukua kama wanafamilia.
TZA;Sawa,pengine mpaka sasa chanzo cha kifo chake kimeshafahamika??
KENETH:Daah!,hiyooo,hiyo nayo hatuwezi kuiongelea saiv,sio wakati wake.
Albert Mangwea alifariki south africa alipokuwa ameenda kufanya show.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni