.

Alhamisi, 21 Novemba 2013

Gari la Wema Sepetu lageuzwa Danguro...Wafanyakazi wake walitumia kurubuni mademu na Kuzini nao ndani ya Gari.




Taarifa za sababu kubwa zilizopelekea Wema Sepetu kumtimua  aliyekuwa director wake maarufu  kwa jina  la Chid  ni ufuska uliokubuhu wa director  huyo ambaye alikuwa  akitumia magari ya  Wema Sepetu  kama gest ya kumaliza haja zake.

Wema aliamua kuchukua maamuzi hayo magumu ili kunusuru kashfa kubwa ambayo ingeweza kuikumba kampuni yake

Habari zaidi zinaarifu  kuwa  baada ya kupata taarifa hizo  Wema  aliamua kumtimua Chid kwenye kampuni yake ili kulinda heshima ya kampuni hiyo ambapo Chid na vijana  wengine walikuwa wakitumia gari hiyo kung'olea watoto wakali  na  kuwachapa  ndani  ya  gari  hiyo.

"Unajuwa Wema ana mashabiki sana hata ile gari wakati mwingine alikuwa anavunja hata sheria za barabarani bila kufanywa chochote ....


"Hii ilitokana na upendo wa mashabiki kwa Wema na wasichana wengi walikuwa wakiiona ile gari  wanaingia wenyewe kwenye gari wakidhani ndani yuko Wema,  hivyo ilikuwa ni nafasi nzuri kwa Chid na wenzake kuwamaliza wasichana hao" Kilisema  chanzo   ambacho  ni  mtu  wa  karibu  na  maadam Wema

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni