.

Alhamisi, 21 Novemba 2013

Peter Msechu auponda wimbo Mpya wa Nay wa Mitego "NAKULA UJANA"....Amwambia ajiandae kuwa Dancer wake hivi karibuni kwenye bendi ya MSECHU..!!


Msanii wa bongo fleva aliyewakilisha Tanzania kwenye mashindano ya vipaji nchini Kenya 'Project Fame' amesema haya kuhusu kazi mpya ya Ney Wa Mitego Na Ney akamjibu.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni