.

Alhamisi, 21 Novemba 2013

PICHA: P-SQUARE WASHATUA BONGO USIKU WA KUAMKIA LEO KWA AJILI YA SHOW KALI TANZANIA NZIMA ITAYOFANYIKA HAPO KESHO..!!


23307ca052f311e3a1cd0a6ea6ffa675_8

 
Wale wakuitwa mapacha wawili P-SQUARE usiku huu wameshatinga ndani ya jiji la Dar es Salaam kwa kishindo kikaliiihahahaaa #hadiRAHA sasa hiyo kesho Jumamosi pale viwanja vya 
Leaders Club ndio patachimbika. Wasanii kutoka bongo watakaosindikiza show hii ni pamoja na Prof Jay, Lady Jay Dee, Joh Makini na Ben Pol.







Hakuna maoni:

Chapisha Maoni