.

Jumapili, 22 Septemba 2013

'Nikirudi Tanzania sihitaji mapokezi yoyote maana watanzania NIWANAFIKI sana"..Agness Masogange


Mtanzania Agnes Gerald, maarufu Masogange, ameachiwa huru na Mahakama ya Kempton ya jijini Johannesburg, baada ya kulipa faini ya R30,000 (Sh4.8 milioni) kwa kosa la kubeba kemikali zinazotumika kutengeneza dawa za kulevya.

Lakini hata hivyo kwa mujibu chanzo chetu toka kwa mtu wa karibu na familia yake, Masogange amesema hatohitaji mapokezi yoyote pindi atakapowasili nchini kwa vile hao wanaopanga mapokezi ndio wanafiki wakubwa ambao walikuwa wanashangilia alipokuwa jela.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni