.

Jumamosi, 28 Septemba 2013

Pata nafasi ya kujua alichohutubia Rais Jakaya Mrisho Kikwete ndani ya Umoja wa mataifa


Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amehutubia ndani ya Umoja wa Mataifa na kuzungumzia vitu mbalimbali kama hali ya maendeleo ya millenia (MDGs),shambulio la kigaidi ndani ya Kenya,hali iliyopo kwenye maziwa makuu na DRC,ICC na vitu vingine vingi. Pia alipata muda wa ku-sign kitabu cha maombolezo ya mauaji ya Westgate. Soma hotuba nzima HAPA na hizi baadhi ya picha akiwa huko New York.(Mpiga picha ni Freddy Maro)


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni