.

Alhamisi, 26 Septemba 2013

Tabia ya kutovaa nguo za ndani yamtokea puani msanii TIWA SAVAGE....Kila kitu chaanikwa hadharani


Msanii huyu toka Nigeria amejikuta akiambulia aibu baada ya nyeti zake kuanikwa hadharani wakati akitumbuiza jukwaani...

Tiwa alikuwa akitumbuiza jukwaani huku akiwa na kisiketi kifupi ambacho kilianika kila kitu kwa kuwa ndani hakuvaa KUFULI...

Kilichomstua ni baada ya kuona watu wako bize na simu zao wakipiga picha hasa eneo la chini alipokuwa amesimama juu ya jukwaa...

Hali hiyo ilimfanya akatishe show kwa muda ili kupata muda wa kujiweka vizuri

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni