.

Ijumaa, 27 Septemba 2013

MDOGO WA DIAMOND PLATNUMZ AIMBA WIMBO WA KUMPONDA DIAMOND, AKIDAI DIAMOND KAMSUSA BAADA YA MAFANIKIO,


HUU wimbo hatari tupu.Inaelezea maisha ya Diamond kabla hajatoka kimuziki.Dogo aloimba anadai Diamond ni ndugu yake wa damu na hakumbuki alipotoka.Duuh kaongea mambo mengi sana.Sina mbavu kwa kweli.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni