.

Jumatatu, 30 Septemba 2013

KIJANA ANASWA NA SHEHENA YA BANGI HUKO BUGURUNI..!!

Polisi wakikagua mahali alipokuwa amejificha mtuhumiwa wa bangi.




Mtuhumiwa akipelekwa kutuo cha polisi.

Kijana ambaye hakutambulika jina lake mara moja amenaswa na polisi akiwa na mfuko wa bangi.
Sakata hilo limetokea maeneo ya Buguruni Sokoni jijini Dar es Salaam mara baada ya polisi kumshuku jamaa huyo ambaye alionekana kujificha chini ya matenga ya nyanya mara baada ya kuwaona polisi hao.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni