.

Jumamosi, 28 Septemba 2013

Miss Philippines avishwa taji la Miss World na miss kutoka Ghana awa mshindi tatu. Angalia picha ya tukio jinsi lilivyokuwa


Miss Philippines Megan Young mwenye umri wa miaka 23 amevishwa taji la Miss World ambalo limefanyika leo jana huko Indonesia. Megan ni mzaliwa wa Marekani na ana umri wa miaka 23 anasomea mambo ya digital film. Mshindi wa pili ametoka France na watatu kutoka Ghana.

Megan akitoa hotuba ya shukrani baada ya kuvishwa taji na Wenxia Yu wa China ambaye ndiyo Miss World aliyemaliza muda wake jana, Megan ameahidi kuwa miss world bora zaidi ya waliowahi kutokea.







Hakuna maoni:

Chapisha Maoni