.

Jumatatu, 30 Septemba 2013

BET Hip Hop Awards Cypher Mwaka Huu, Watakao Chana Ndio Hawa



Katika jambo linalo pendwa zaidi na mashabiki wa Hiphop ni Cypher za Tuzo Za BET Na mwaka huu Orodha imeongezwa hivi.

Kwa mujibu wa karencivil.com BET Hip Hop Awards Cypher Mwaka Huu, Wasanii Watakao Chana Ndio Hawa na Itakuwa kwa awamu saba

Cypher 1 – Wax, Rapsody, Emis Killa, Rittz, Jon Connor

Cypher 2 – A$AP Mob: Ferg, Twelvy, Nast, Ant, Rocky

Cypher 3 – Action Bronson, Star Life Breezy (Sprite Contest Winner),Travis $cott,
Tiffany Foxx, Lil’ Kim

Cypher 4 – Slaughterhouse: Joell Ortiz, Crooked I, Royce Da 5’9, Joe Budden

Cypher 5 – TDE: ScHoolboy Q, Jay Rock, Ab-Soul, Isaiah Rashad, Kendrick Lamar

Cypher 6 – Real Husbands Of Hollywood: Chocolate Drop (Kevin Hart), Nick Cannon, Nelly, Boris Kodjoe, Duane Martin, JB Smoove

Cypher 7 – Asia Sparks, Bad Lucc, Problem, Astro

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni