.

Ijumaa, 27 Septemba 2013

TAZAMA JINSI UWANJA WA TAIFA WA SOMALIA UNAVYOONEKANA!!!


Uwanja wa Soka wa Taifa wa Somalia unavyoonekana kwa sasa. Kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab kimepiga marufuku soka kuchezwa kwenye Uwanja huo na sehemu nyingine yoyote ya Mogadishu tangu mwaka 2008. Serikali ya Somalia juzi imeingia mkataba na kampuni ya moja ya China
kukarabati miundombinu ya Uwanja huo lakini imeripotiwa kwamba kampuni hiyo inaogopa kushambuliwa na inasita kuanza kazi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni