.

Jumatatu, 22 Septemba 2014

Picha: Producer Man Walter afunga ndoa, huyu ndiye mkewe


Producer kutoka Combination Sound anaefanya vizuri nchini, Man Walter amepiga hatua kubwa katika maisha yake baada ya kufunga ndoa na mrembo ambaye alidaiwa kumuimbia wimbo wa ‘Wife Material’.

Man Walter na Matilda Jimmy wamekuwa mme na mke kisheria baada ya kufunga ndoa Jumamosi, September 21

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni