.

Alhamisi, 18 Septemba 2014

EXCLUSIVE: CHRIS BROWN KUTUA BONGO KWENYE SERENGET FIESTA

Habari zilizopo chini ya kapeti ambazo bado hazidhibitishwa ni kwamba yule nyota wa R&B anayependwa na kukubalika na wengi ambapo umaarufu wake umeweza kuongezeka mara dufu kutokana na kutoka kimapenzi na Rihanna ... Ambapo wabongo wameweza kufananisha mapenzi ya Diamond na Wema Sepetu ni kama Chris na Rihanna.. Sasa unaambiwa Mazungumzo ya mwisho ya kukubaliana ndio yanafanyika na pia kama watakubaliana vizuri Chris Brown kutua Bongo bila utata hiyo .. Na kiingilio kikiwa sh elfu 50 wala msishangae

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni