.

Ijumaa, 19 Septemba 2014

Dada yake Diamond Platnumz, Asma amefunga ndoa na Peti Man



 Dada wa mwana muziki nguli hapa nchini Tanzania Asma ambaye anajulikana kwa jina la Esma Platnum amefungua ndoa na Pet Man. Hizi ni baadhi ya picha za Tukio hilo ambalo limefanyika leo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni