.

Jumatano, 10 Septemba 2014

AJALI: Basi la Super Feo Lagonga mti na Kupinduka huko Songea….Wawili wafariki dunia, 30 wajeruhiwa vibaya


Watu wawili wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa baada ya ajali mbaya iliyotokea leo  katika  eneo la  Sanangula nje kidogo ya mji wa Songea mkoani Ruvuma ikilihusisha basi la Super Feo linalofanya safari zake kati ya Songea – Makambako lililoacha njia na kugonga mti.
BASI Chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa kuwa ni mwendo kasi.
 
 
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni