.

Jumatatu, 22 Septemba 2014

“Inshort hapa UK asije,watuletee Alikiba tumuonyeshe Diamond kuwa he’s not special anymore…


p3
Baada ya diamond kushindwa kufanya show nchini Uingereza siku chache zilizopita huku yeye akisema ilikua ni tatizo la promoter alieanda show, sasa Meneja wake Diamond Platnumz amefunguka sababu za msanii wake kushindwa kufanya show hile, Pia ikimbukwe ni wiki chache tu zilizopita Diamond alishindwa kufanya show nchini Ujerumani baada ya kuchelewa kufika katika show na kusababisha vurugu mpaka kufikia hatua ya polisi kuingilia. 
Diamond
Utaweza kusoma Onyo alilopewa Diamond na shabiki aliyefika kwenye show ya Uingereza na kuambulia patupu kwa kuwa msanii huyo aligoma kupanda stejini.
1 2
 
Cheki alichoandika shabiki…
3 4
Tupe maoni yako hapo Chini..!!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni