.

Jumapili, 20 Julai 2014

KIJANA WA MIAKA 25 KIZIMBANI KWA MUMPA MIMBA DADA YAKE WA MIAKA 28!!!


NIGERIA: Kijana wa miaka 25  aitwaye Shansu Isa mwenye tuhuma za kung`atana na dada yake mwenye umri wa miaka 27 na kisha kumpa mimba amakubali mashitaka mbele ya mahakama juzi:


Isa alikiri mbele ya mahakama kwamba ni kweli alimpa mimba dada yake ila kitendo hicho kilitokea "kwa bahati mbaya tu". 

Baada ya Isa kukubali mashitaka mbele ya akimu bila wasiwasi, lakini kwa kudai kuwa mimba ilitoke  kwa bahati mbaya, mahakama iliahirisha kesi yake mpaka tarehe 4-8-2014 kwa uchunguzi wa kina



Kutokana na vyanzo mbalimbali vya habari hii, kijana huyo alikuwa akimgonga dada yake kwa muda mrefu sana kitu ambacho kilistaajabisha watu wengi lakini wakashindwa kukemea kitendo hicho kutokana na wapenzi hao kuonekana kupendana na kuenjoy sana penzi lao. 

Baada ya kiumbe kujitunga tumboni mwa mrembo huyo kutokana na kwenda kavu( Joti huita mchezo huu, kupiga "Manyama ndani Manyama Nje") bila kinga! Sasa watu wameshindwa kuvumilia na hivyo kumvurumisha mwanaume huyo mpaka mahakamani ili akijibu mashitaka!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni