.

Jumatano, 16 Julai 2014

RACHEL: Sitoki kimapenzi na TID na wala hajanifundisha kuvuta UNGA


Mwanamuziki Rachel Ambaye ni zao la THT na Aliyetamba na Single ya Kizunguzungu amejitokeza hadharani na kukanusha tetesi ambazo zilikuwa headlines week mbili zilizopita kuwa anatoka kimapenzi na TID na Pia Anatumia Madawa ya Kulevya baada ya TID kumfundisha..
TID
TID
Rachel Amekanusha uvumi huo na kusema Jamini mimi sina mahusiano ya kimapenzi na TID kabisa maneno nayasikia tu mtaani na kwenye blogs ila si Mpenzi wangu na wala hajanifundisha kutumia madawa ya kulevya ,hizo stori sijui zinatoka wapi , mimi TID ninampango wa Kufanya nae kazi za music tu na si vingine

Msanii RACHEL
Msanii RACHEL


Mkomo Kuchonga chongo Midomo Rachel kashasema Hapo Juu
Tupe maoni yako hapo Chini..!!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni